Tuesday, September 6, 2011

Mrembo Alexia Williams akipozi mbele ya washiriki wenzake wa Vodacom Miss Tanzania 2011 baada ya kutajwa kuwa ndiye mshindi wa Vodacom Miss Personality 2011.
Mrembo Alexia Williams akibebwa na wenzake wanaoshiriki…
Mrembo Alexia Williams akipozi mbele ya washiriki wenzake wa Vodacom Miss Tanzania 2011 baada ya kutajwa kuwa ndiye mshindi wa Vodacom Miss Personality 2011.
Mrembo Alexia Williams akibebwa na wenzake wanaoshiriki shindano la Vodacom Miss Tanzania 2011 baada ya kutajwa kuwa ndie mshindi wa Vodacom Miss Personality na kupata tiketi ya kuingia nusu fainali ya Vodacom Miss Tanzania itakayofanyika Septemba 10 mwaka huu katika ukumbi wa Mlimani City jijini Dar es Salaam. Tayari warembo wengine wanne wameshafanikiwa kuingia katika hatua ya nusu fainali. 
Warembo wanne kati ya 30 wanaoshiriki katika shindano la Vodacom Miss Tanzania 2011 waliopata kura nyingi za shindano la Vodacom Miss Personality wakipozi kwa picha baada ya kutangazwa. Kutoka kulia ni Dalilla Ghalib, Maua Kimambo, Alexia William na Cynthia Kimasha. Fainali za Vodacom Miss Tanzania 2011 zitafanyika Septemba 10, mwaka huu katika ukumbi wa Mlimani City jijini Dar es Salaam.

0 comments: