Afisa Masoko wa Global, Benjamin Mwanambuu, akimkabidhi Makamu Mwenyekiti wa Habari Group, Paul Tarimo, jezi hizo. Kulia ni Hamis Shaban, mmoja wa mawakala.
Wakala Said Juma (kushoto) akibadilishana mawazo na Mwanambuu wakati wa hafla hiyo. Wengine ni Paul Tarimo na Hamis…
Afisa Masoko wa Global, Benjamin Mwanambuu, akimkabidhi Makamu Mwenyekiti wa Habari Group, Paul Tarimo, jezi hizo. Kulia ni Hamis Shaban, mmoja wa mawakala.
Wakala Said Juma (kushoto) akibadilishana mawazo na Mwanambuu wakati wa hafla hiyo. Wengine ni Paul Tarimo na Hamis Shaban.
KAMPUNI ya Global Publisher inayochapisha magazeti ya Ijumaa Wikienda, Uwazi, Risasi, Amani, Ijumaa na Champion jana ilitoa msaada wa jezi kwa uongozi wa timu ya mpira ya mawakala wa magazeti yake iitwayo Habari Group kwa lengo la kudumisha umoja katika jamii kupitia michezo.
0 comments:
Post a Comment